December 25, 2017

 

Kutoka katika studio za Mahewa Record za mjini Morogoro, mwanamuziki Sameer Kasimmaarufu Samir, ameachia video yake mpya kabisa wimbo unaitwa Zuzu. Video imefanywa na Director Eddy wakati Audio yake imefanywa na Producer Wille Matajili katika studio za Mahewa Record Morogoro
                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE