Mwanamuziki Fareed Kubanda Fid Q, Ametuletea Remix ya wimbo wake wa Fresh. Katika wim bo huu Fid amewashirikisha wasanii wawili toka katika kundi la W C B Wasafi, Diamond na Rayvanny
Belle 9 azindua wimbo mpya nyumbani kwa Kikwete
Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya, Abelnego Damian maarufu kama Belle 9 akizungumza wakati wa uzinduzi wa wimbo wake mpya uliofahamika kwa jina la 'Give It To Me' usiku wa kuamkia leo . Kulia ni Mdau wa M…Read More
Breaking News: Darassa na timu yake wapata ajali mbaya.
Habari za majonzi zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kwamba mwanamuziki anayefanya poa sana na wimbo wake unaosikika kila kona wa muziki, Darassa amepata ajali ya gari. Darassa aliyekuwa akitokea kwenye show Kah…Read More
Mbogamboga, vitunguu yaingiza Mil 370
-
MAZAO ya Mbogamboga pamoja na vitunguu vinavyozalishwa nchini Tanzania ni
sehemu ya maendeleo na...
The post Mbogamboga, vitunguu yaingiza Mil 370 firs...
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment