December 12, 2017



Baada ya juzi rapa Stamina kuonekana akivalisha pete mchumba wake wa muda mrefu, amefunguka kumzungumzia mrembo huyo pamoja na kueleza sifa zake. Rapa huyo ambaye anaunda familia ya Rostam akiwa na Roma, amesema hajakurupuka kumvalisha pete mke wake huyo mtarajiwa.

 Safari yetu ilianzia mbali sana mpaka hapa tulipofikia,,na bado tunaenda mbali mbali zaidi ya tulikotoka,,umenivumilia mengi sana,,vikwazo na matatizo hapa kati tumepitia mengi sana ila bado tukasimama pamoja,,MUNGU ABARIKI KILA HATUA YETU KATIKA MAISHA YETU,,wanga hawakosekanagi katika hili swala ila wamechelewa maana tuna protein za kutoshaaaaaa😂😁😅,, THANKS @roma_zimbabwe umeni inspire sana katika hili wewe na @mrs_roma2030 ,,shukrani kwa timu nzima ya #ROSTAM @djj_one @mokobiashara na BOSS WETU @musababaz kwa kua karibu katika kila jambo,,SISTER @reyjons ahsante sana suport yako naithamini na kuiheshimu,,AHSANTENI MASHABIKI ZANGU NA WADAU WOTE AMBAO MMEKUA MKISUPORT KAZI ZANGU...BILA NYINYI NISIFIKA HATUA HII PIA YA KUWAZA NDOA,,,mtu mbaya @ki2pe umetisha na haya mavazi ahsante sana

#AHSANTENI WOTE


                       

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE