Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Manyara na mwanamichezo kipaumbele nchini Tanzania , Joel Nkaya Bendera amefariki dunia leo hii katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Taarifa kutoka katika Hospitali ya Muhimbili zimethibitisha kifo cha Mkuu wa mkoa huyo bila kutaja ugonjwa uliokatisha maisha ya Bendera.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment