January 25, 2018

Bilionea namba moja kwa utajiri duniani, Bill Gates amemuonya Rais wa Marekani Donald Trump kwa kauli mbiu yake ya "Marekani Kwanza" kuwa inaweza kuharibu uhusiano wake na Afrika.

Bill Gates ametoa kauli hiyo katika mkutano wa dunia wa uchumi Worl Economic Forum  unaofanyika huko Davos nchini Switzerland ambapo amesema kunatakiwa kuwepo kwa uwiano wa wenye nguvu kubwa na nguvu kidogo na kuanisha kwamba asingependa kuona uwiano huo unapotea.

Bill Gates amesema kwamba Marekani inaweza kupoteza ushawishi wake barani Afrika kwa nchi kama China ambazo zinazidi kuwekeza barani Afrika, Bill Gates ambaye anamfuko wake unaoitwa Bill & Melinda Gates Foundation, umekijihusisha kwa kiasi kikubwa kutoa huduma za afya katika nchi kadhaa barani Afrika.

Lakini rais Trump amesema kwamba atakata msaada wa bajeti wa afya kwa takribani dola bilioni 2.2 katika mfuko wa dunia. Pia Trump aliwakasirisha viongozi wa Afrika bada ya kuyaita mataifa ya Afrika machafu kupindukia.

Related Posts:

  • AY: awashauri Diamond na Alikiba Rapper Ambwene Yesayah maarufu kama AY ametoa ushauri kwa Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao pembeni na kufanya muziki pamoja. AY ametoa ushauri huo baada ya kuulizwa na shabiki kupitia Kikaangoni cha EATV aliyetaka… Read More
  • Tunda /Tufunge na kuswali -Qaswida   Ikiwa tupo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, dini ya kiislam wapo kwenye ibada ya Funga, mwanamuziki kutoka Tip Top Tunda mana ameachia Qaswida ikiwa ni sehemu ya kuwaasa waislam kumrejea ,ungu hasa kipindi hik… Read More
  • Ainea kuja na Juddy wiki hii     Mwanamuziki wa kizazi kipya toka mkoani Dodoma Aine wa sinampango naye, yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ya Juddy aliyomshirikisha Dullayo. Akitia Story na blog hii, Ainea amesema ameamua kuja na Dullayo k… Read More
  • Mzee Yusuph afichua siri ya mchezo Mfalme wa Taarab nchini na kiongozi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuph, amesema sababu za bendi yake kupendwa ni utunzi mzuri wa nyimbo zao. Mzee Yusuph ambaye June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilima… Read More
  • Happy Birth day to u Zinedine Zidane   Zinedine Zidane a.k.a Zizou amezaliwa June 23 mwaka 1972 na hadi leo amefikisha miaka 43. Zidane ameoa mwaka 1994 mke wake anaitwa Veronique Zidane. Hadi leo wana watoto wanne ambao ni Enzo Fernandez, Theo Zidane,… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE