Mwanamuziki wa R n B kutokea kule Dododma Tanzania bwana Ben Pol, ametuletea video hii mpya kabisa ya wimbo wake unaitwa Bado Kidogo. Wimbo wa Bado kidogo unaonekana kuwapa tumaini wale wote waliokata tamaa.
UJUMBE WA WATU 19 KUTOKA MALASYIA KUTUA DAR
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TANZANIA inatarajiwa kupokea ujumbe mkubwa wa viongozi wa elimu ya juu
kutoka Malaysia, wakiwemo viongozi kutoka Wizara ...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment