Mtangazaji Diva The Bawse toka ala za Roho ya Clouds Fm, mapema leo hii kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm, ametambulisha Albam yake ya kwana huku katika Albam Hiyo akiiachia wimbo wa Waambie aliowashirikisha wanamuziki Mwana FA na Mr. Poul. Video ya wimbo wa waambie iko mbioni
0 MAONI YAKO:
Post a Comment