January 23, 2018

  
Wanamuziki wanaofanya poa sana kwa sasa kwenye kipengele cha muziki wa Bongo Fleva Aslay na Nandy, wamekutana katika wimbo wa Subalkheri. Wimbo huu uliimbwa miaka ya zamani sana na kundi la Muungano katika mtindo wa Taarab. Lakini leo hii Aslay na Nandy wameufanya kwa mtindo wa kisasa 

                    

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE