Mwanamuiki wa kike tokea nchini Nigeria Mama Afrika Yemi Alade,amekuja tena na wimbo wake mpya kabisa unaitwa Go Down. Yemi Alade anakupa fursa ya kuutazama hapa ikiwa ni mara yako ya kwanza kabisa. acha Comment
TUFUATE TARATIBU ILI KUDUMISHA AMANI YETU- MALECHA
-
Na Mwandishi wetu, Dar
Khalid Malecha, Mkazi wa Kitonga Jijini Dar Es Salaam, ameeleza kuwa maelfu
ya wananchi waliathirika moja kwa moja na ghasia na m...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment