
Ukiwataja watangazaji wa kike watano nchini, hutaacha kumtaja Diva Loveness love, maarufu Diva The Bawse, mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm kinachoruka jumatatu mpaka Alhamisi saa nne mpaka saa sita usiku. Anajua asichokipenda? ameulizwa kuhusu Mange Kimambi, je amejibu nini? bofya hapa chini kutazama injterview yake aliyofanya na jonijoo wa Now you know
0 MAONI YAKO:
Post a Comment