
Chuo hicho kimemtaja mwanafunzi huyo kuwa ni Akwilina
Akwiline aliyekuwa anasoma shahada ya kwanza ya ununuzi na ugavi
Leo, Februari 17, 2018, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya
Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi na polisi
wakati wakiwatawanya wafuasi wa Chadema walioandamana jana
Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya Chadema
Wafuasi hao wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho,
Freeman Mbowe waliandamana kuelelea ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la
Kinondoni, Aron Kagurumjuli kudai viapo vya mawakala wa chama hicho
Akizungumza na Mwananchi, Ofisa Uhusiano wa NIT, Ngasekela
David amesema wamepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha wanafunzi huyo
"Ni kweli alikuwa wanafunzi wetu na tumepokea kwa
masikitiko taarifa hizi. Tunaendelea kufuatilia zaidi, "amesema David
0 MAONI YAKO:
Post a Comment