Ule wimbo wa Collabo kati ya mwanamuziki kutokea WCB Rayvanny akiwa sambamba na Jason Derulo pamoja na makali French Montana Tayari umetoka rasmi. Wimbo unaitwa Tip Toe Remix
Mkuu wa shule Singida ajinyonga hadi Kufa
Mkuu wa Shule ya Sekondari Tumuli katika Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, Richard Makala (58) amejinyonga kwa kamba kutokana na kile kinachodhaniwa ni upweke.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora Magiligimba,…Read More
Wema Sepetu amchinjia baharini Batuli
Sasa Wema Sepetu na Batuli ni mbuzi na chui, urafiki ndio umefika mwisho. Tukio hilo limetokea baada ya Wema kukasirishwa na kitendo cha Batuli kusema kuwa yeye alishalipwa fedha zake za kampeni na CCM.
Kupitia mtan…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment