February 22, 2018

 
Licha ya kujihusisha na kazi ya Blogger na kuwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii, huku akisimama katika kuinua wasanii wapya kupitia AC zake za kijamii na website yake ya DJ Mtes.com. Blogger huyo kutoka mkoani Morogoro, pia anajihusisha na tasnia ya Muziki. Dj Mtes ametuletea Video yake mpya kabisa inaitwa Mama. Bofya hapa chini kuitazama na kudownload pia

                    

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE