February 06, 2018

Kutoka katika kundi la Watengwa , Arusha Tanzania, anafahamika kwa jina la Chindoman, Alitamba na nyimbo kibao sana huyu jamaa ikiwemo mbwa wa mzee anabweka,torati yamtaa na nyingine nyingi, safari hii amekuja na wimbo unaitwa Mama lao akimshirikisha Rayvanny wa WCB
 
                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE