March 05, 2018


Msanii wa Bongofleva Dayna Nyange amezungumza na kuelezea skendo zilizopo za yeye kuhusishwa kutoka kimapenzi na Model Daxx ambae pia ameonekana kwenye video mpya ya Dayna ya 'Sale Sale'. Akizungumza na AYO TV, Dayna pia ameweka wazi kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi na ukaribu na Daxx

                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE