March 16, 2018

Image result for Abdul Nondo
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam leo Machi 16, 2018 limetolea maelezo juu ya tuhuma za kupishana kauli na jeshi la polisi Iringa kuhusu tukio la kupotea kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), Abdul Nondo aliyedaiwa kutekwa wiki mbili zilizopita.
Msikilize Kamanda Mambosasa akizungumzia kupishana kwa kauli hizo ambapo awali Polisi Iringa walisema Abdul alijipeleka mwenyewe kituoni na Polisi Dar wakasema alikamatwa.

                            

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE