Kutoka katika studio za Kwanza Records za Forest Mkoani Morogoro, Becka Title amedondosha wimbo wake mpya kabisa unaitwa Sina Ubaya. Audio ya wimbo huu imefanywa na Producer Vennt Skill chini ya Mokomoko Movement.
Hili ndiyo jumba lingine la Kifahari la Diamond Platnumz
Hapa nyumba tu, Diamond Platnumz ameongeza idadi ya nyumba anazomiliki baada ya kununua nyingine.“Ilibidi niongeze kibanda kimoja jana…. thanks@dalalimwanamkena Mama ya platnumz@rahdh_one kwa kulifanikisha hili……Read More
Azam TV yazindua Kiwanda cha Filamu
Kutoka kushoto ni Muigizaji
mahiri wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’, Mkuu wa Masoko na mauzo
wa Azam, Mrope Kiwanga, Msimamizi Uzalishaji wa kipindi cha Sinema Zetu
Zamaradi Nzowa, Mhadhiri Msaidizi wa UDSM…Read More
Hotuba ya Rais Magufuli katika ufunguzi wa Daraja la Kigamboni
Siku ya Tarehe 19 Jumanne 2016, Tanznaia iliingia katika Historia mpya ya ufunguzi wa Daraja la kisasa la Kigamboni. Katika ufunguzi huo mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT. John Pombe Maguf…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment