April 30, 2018

Kanye West
STAA wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye Omar West, hivi karibuni kupitia ukurasa wake kwenye wa Twitter,ali,rusha mwanamuziki anayechipukia kutoka Tanzania, anayejulikana kwa jina la Lo Sayaloha Ski, akimpa pongezi kutokana na wimbo wake mpya uitwao iBeen.
   
Lo Say Aloha Ski.
Kanye alimrusha Ski, baada ya ‘kumtag’ wimbo wake huo katika Mtandao wa Twitter na Kanye akimrusha aliandika maneno yaliyosomeka ‘Lo SayAloha Ski is a musical GENIUS #ibeen’.
Baada ya posti hiyo mastaa mbalimbali wa Hip Hop Bongo, akiwemo G Nako walimpongeza mwanamuziki huyo na kumwambia azidi kukaza kamba afike mbali zaidi.Huku Producer Triss akionekana kufurahishwa sana na jambo hilo na kupost 

No automatic alt text available.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE