Mkurugenzi
wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group ndugu Ruge Mutahaba
wa tatu kushoto,akiwa katika picha ya pamoja na mfanyabiashara tajiri Duniani kutoka
Uingereza mwenye asili ya Sudan Mohamed “MO” Ibrahim, Gayle Smith
Mkurugenzi wa asasi ya ONE Campaign, Bi. Gayle Smith aliyewahi kuwa
msaidizi maalum wa Rais Obama na Msimamizi wa Shirika la kimataifa la
Misaada la Marekani (USAID), Picha hii ni baada ya kukamilika kwa
Mkutano mkuu wa ONE Campaign nchini Rwanda.
Ndugu Ruge Mutahaba amechaguliwa tena kwa kipindi cha miaka 3 kuendelea kuwa miongoni mwa wajumbe wa ONE African Board.
Ndugu Ruge Mutahaba amechaguliwa tena kwa kipindi cha miaka 3 kuendelea kuwa miongoni mwa wajumbe wa ONE African Board.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment