May 08, 2018

 
Timu ya soka ya Yanga ya jiji Dar Es Salaa, imemkumbuka aliyhekuwa kocha wake wa wakati hueo Mmalawi Jack Chamangwana iliyefariki Dunia jumapili iliyopita.
R.I.P Coach Jack Chamangwana. Ulikuwa sehemu ya mafanikio na historia ya klabu yetu.
Kama kocha aliipa Yanga mataji mawili ya ligi kuu Tanzania Bara 2005/2006

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE