Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu Instagram
Mvulana wa umri wa miaka 10 nchini Finland ameshangaza wengi baada ya kugundua udhaifu katika mtandao wa kijamii wa Instagram.
Mvulana
huyo kwa jina Jani ametunukiwa $10,000 (£7,000) baada ya kugundua
udhaifu huo ulio…Read More
Rais wa Burundi amefariki DuniaRais wa zamani wa Burundi Kanali Jean-Baptiste
Bagaza amefariki akitibiwa nchini Ubelgiji.
Kanali Bagaza amekuwa akitibiwa kwa muda
katika hospitali ya Sainte Elisabeth mjini Brussels.
"Imethibitishwa, rais wa zamani Jean Bap…Read More
Chura wa Snura ‘atrend’ Marekani
.
Chura wa Snura anazidi kusambaa duniani kwa kasi. Clip
zinazowaonesha wanawake watatu wakipika chakula huku wakitikisa mizigo
yao kwa kuucheza wimbo huo maarufu haijashia kutrend Afrika tu bali hadi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment