Mabinti mapacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti,
wamefariki dunia katika hospitali ya mkoa wa Iringa walikokuwa
wakitibiwa. Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ameandika kupitia
mtandao wake wa Twitter. Kwa wakati fulani mapacha hao walitibiwa
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kurejeshwa Iringa ambako
hali yao haikuimarika na mauti kuwakuta. Mabinti hao waliokuwa wakisoma
chuo cha Ruaha Catholic University mjini Iringa wamefariki majira ya saa
moja usiku wa Jumamosi.
MIIKO YA MAHAKAMA :MSINGI WA HAKI NA USAWA KATIKA HABARI
-
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel
*Na Dotto Kwilasa, Dodoma*
Katika kuhakikisha jamii inapata taarifa zilizo sahihi na z...
8 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment