
CCM imekununua kwa shilingi ngapi? Ni moja ya maswali aliyoulizwa
Mtatiro, haya hapa majibu yake Mmoja ya wakuu na mwanachama mashuhuri
zaidi wa Chama wa Wananchi, CUF, Julius Mtatiro, alitangaza siku ya
Jumamosi kwamba amejitoa katika chama hicho na kuamua kujiunga na CCM.
Leo amezungumza na Azam TV na kuweka bayana “mbivu na mbichi.’ Mtatiro
alichukua uamuzi huo akiwa katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya
uongozi ya chama hicho chini ya Maalim Seif Sharif Hamad. Wakati
anatangaza uamuzi huo alitaja sababu kadha, moja ikiwa ni kuwatumikia
waanchi tofauti na angekuwepo CUF, nimezungumza naye katika mahojiano
maalum.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment