Yule mkali wa muziki aliyezaliwa Congo na kufanya maisha yake nchini Ufaransa Ya Levi, baada ya kutamba na ngoma zake kama Katchua, Libaba, Elle ne veut pas, sasa ameachia wimbo wake mpya kabisa unaitwa Dis Lui. Video yake tumekuwekea hapa chini. Ahsante na endelea kutembelea Blog yetu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment