Kufuatia tukio la ajali ya Moto uliosababishwa na Roli la Mafuta na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 75 mkoani Morogoro, tukio lililotokea 10 August 2019 siku ya Jumamosi katika eneo la Msamvu, wasanii wa Hood Bangerz wameamua kuomboleza msiba huwo kwa kufanya wimbo wa pamoja unaoitwa Never Forget Moro
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA UONGOZI NA USIMAMIZI WA ELIMU KUPITIA MAFUNZO
KWA VIONGOZI WA SHULE
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo
(katikati) akiwa naMwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa
El...
5 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment