Baada ya Bondia Twaha Kiduku wa Morogoro kutangaza hadharani akitaka mpambano na Bondia kutoka Dar Es Salaam Dulla Mbabe, sasa ni rasmi. Promota Ally Mwanzoa wa Tanga, ametaka mabondia hao kukutana naye na kuandaa pambano kati yao. Promota Mwanzoa amewapa Uhuru mabondia hao kuipanga tarehe na mwezi watakaotaka kupigana ila waende mezani wakaini mikataba ya pambano hilo.
KITUMBO AIBUKA MEYA MPYA MANISPAA YA SHINYANGA, TAZAMA AKIONGOZA KIKAO CHA
KWANZA BARAZA LA WADIWANI
-
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga ,Salum Kitumbo
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mazingira ya kisiasa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyang...
2 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment