Hata hivyo Mwenyekiti wa Bongo Movies Club JB amesema kuna ulazima pia kwa wao kama bongo movies kuchangishana ili kuweza kumpa Jackline Walper pesa alizozitoa ambapo mpaka sasa kiasi cha pesa kilichokusanywa kwa ujumla ni dola elfu ishirini.

Baada
ya shilingi milioni tisa kupelea katika milioni 25 zilizohitajika
kumpeleka mwigizaji Sajuki kwenda India kutibiwa, Mwigizaji Jackline
Wolper yeye mwenyewe amejitolea dola za kimarekani elfu kumi zaidi ya
milioni 15 za kitanzania kwa ajili ya matibabu ya Sajuki.
KWA HISANI YA CHUMABLOG
0 MAONI YAKO:
Post a Comment