Rich one akiingia kituo cha polisi Msimbazi, check body language
ya askari anaandikisha anacheka Rich one mwenyewe hana wasiwasi hata
kidogo, inasemekana eti anatumia jina la Ally Kiba kujipatia fedha
isivyo halali, kuomba pesa na kutapeli watu kwamba yeye ni Ally Kiba kwa
njia ya simu,wametrack mtandao ndo akakamatwa yeye, Bado tunasikilizia
itakavyokuwa alafu more stories hapa kwenye hii blog tukawa tunahukumu kumbe wanajuana tusubiri
shauri hili mwisho wake huko mahamakani na polisi alafu tutajua mpango
mzima, kwani hatuna tatizo na mtu pia tutamtamfuta Rich ONE naye ashuke! Lakini daaaaah
PICHA HII NI KWA HISSANI YA MILLARDAYO
0 MAONI YAKO:
Post a Comment