May 03, 2012



HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SAFARI HELIKOPTA YA DIAMOND MBAGALA DAR LIVE JANA!

Posted by Teen Newz on April 30, 2012 at 12:00pm 5 Comments
Jana ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa msanii aliye hot Bongo kwa sasa na kinara wa tuzo za Kili 2012, 'Diamond Platinum'. Alifanya shoo ya kihistoria kwenye Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live, uliyoko Mbagala jijini Dar es salaam kwa kwenda na helikopta, akiwa msanii wa kwanza nchini kufanya hivyo. Hapa anaonekana akiwa Uwanja wa Ndege Terminal One akielekea kwenye Helikopta tayari kwa safa

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE