Miili ya Wasomali hao ikiwa inashushwa jwa ajili ya kuzika
Shughuli za Mazishi zimeanza
NI MAKABULI WANAPOZIKWA WASOMALI
Miili
22 ya Wasomali waliokuwa wakati wakisafiri kutoka nchini Ethiopia
kwenda nchi za Afrika kusini kwa lengo la kusaka maisha
wamezikwa muda mfupi toka sasa katika makaburi ya kola mkoani Morogoro.
Miili mingine 22 imezikwa mkoani Dodoma.
Picha na Mpiga picha wetu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment