MC KOBA KATIKA POZI
Msanii kutoka Morogoro aliyewahi kutamba akiwa na Afande Sele na baadea ndani ya kundi la watu poli kabla ya kuwa kando na mziki Mc KOBA ameachia wimbo wake mpya unaoitwa SIMUONI alioufanya katika studio za Mahewa Records chini ya mtayarishaji Matajili Willei.
Download hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment