Miriam Odemba, Omotola na Mange mamaa wa U-Turn!!
Omotola akifurahia na kucheza ngoma iliyoandaliwa mahsusi kwa mapokezi
Wageni waalikwa wakiitizama filamu hiyo ya Wema inayoitwa Super Star
Quick Rocker & Frank Gonga
Irene Uwoya
mziki ulinoga viatu vikavuliwa
Mwanadada
SHAA jana alifanya show nzuri sana na alitunzwa hela nyingi na kila mtu
aliependa alichokuwa akikifanya. Napenda unavyojiamini Shaa endelea na
uzi ule ule
Habari na Picha Shukrani kwa BONGO STAR LINK.(DJ CHOKA)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment