Wimbo
mpya wa Ben Paul ,Pete uliotoka August 2012 utafanyiwa video South
Africa au Kenya. Ben Paul amefunguka kuwa ana Plan A na Plan B ya video
hii. Plan A Ni kufanya video na Ogopa wa Kenya na Plan B ni kufanya
video na Adam Kutoka Tanzania ila video watakwenda kufanya nchini South
Africa kama alivyo fanya Ommy Dimpoz.Skilizia Updates zaidi kuhusu hichi kichupa kupitia Power Jams Ya East Africa Radio.
Audio/Mperempera - Mash J ft Stamina
Mperampera ni moja ya ngoma zinazofanya vizuri sana kwa sasa katika uwannja wa Hip Hop kwa Tanzania. Hii ngoma imefanywa na msanii chipukizi toka mkoani Morogoro anaitwa Mash J akimshirikisha mkali mwingine Stami…Read More
Mzee Yusuph kutangaza nia kesho
Msanii wa taarabu na CEO wa bendi ya Jahazi Modern Taarab Mzee Yusuf
anategemea kutangaza nia kesho Jumamosi 13 Juni 2015, Huu ukiwa ni mwaka
wa uchaguzi, tumeshuhudia makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi
wakitangaz…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment