Baaada ya sinema ya Woman of Principels kufanya
vizuri sokoni sasa ni wakati wa sinema bora kuingia mtaani jina ni
Sister Marry ni sinemma yenye story ya kipekee sana kama kawaida ya
kampuni yako RJ Company kufanya kazi yenye kiwango cha hali ya juu lini mzigo huu unatoka nitawataalifu .
Hiyo ni kauli ya muigizaji na mtayarishaji wa Tasnia ya filamu nchi VICENT KIGOSI au RAYTHE GREATEST
Baadhi ya vipande vitakavyokuwemo katika filamu hiyo mpya
Hiki ni kimoja ya kifaa ambacho Ray huwa anakitumia sana katika kazi zake
Vijana wakiwa kazini wakikabiliana na majukumu yao
Sister Beata(Johari) akiwa on set
Hapa picha inaonesha wakielezeana machache kabla ya kuingia on set.
Kijana Dura akiwa on set..
Vijana wakipiga mzigo kwa umakini mkubwa sana.
Sister Mkuu akitoa mafunzo ya Utawa kwa masister.
Kila
mtu yuko makini kuhakikisha kuwa mambo yanenda sawa na ndio siri ya
kampuni ya RJ kufanya vizuri na wala si uchawi wadu ni jitihada tu
Kila penye nia pana njia kazi ndio mafanikio ya mtu hata vitabu vya dini vinasema kuwa asiye fanya kazi na asile.
The Greatest aki akikisha picha.
Mambo yakiendelea kupamba moto.
Hapa wakifanya setting ya picha.
Ray yuko makini kabisa na kazi yake
RAY "Huu
mzigo si mchezo subirini kwa hamu sana mara nyingi huwa sikosei kwenye
kazi zangu ni sinema niliyotumia hela nyingi sana mpaka kuona hivi"
Ewe mdau wa filamu, kaa mkao wa kula mzigo mpya huwooooo unakuja.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment