
Mtangazaji wa redio maarufu jijini dar es salaam CLOUDS FM Loveness Love Diva
amekataa na kupinga vikali kuhusishwa na Gazeti la Udaku la Uwazi
lililotoka jumatatu na story yake inayomuhusisha na Mbunge wa Kigoma
Mjini, Mh. Zitto Kabwe.
Story hiyo ambayo pia imewahusisha wasanii wengine wa Bongo Movies Na Mwanamitindo maarufu nchini (Flaviana Matata) imewahusisha wadada hawa na issue ya Bw. Zitto endapo atakuwa Rais katika uchaguzi ujao.
Diva ambae anafanya vizuri katika kipindi chake cha Ala za roho
kinachorushwa saa nne mpaka saa sita usiku alikataa kuhusishwa huko na gazeti hilo kupitia
ukurasa wake wa twitter jana na kuomba asiwekwe kwa heshima ya rafiki
zake na familia yake.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment