December 13, 2012

 
                                                                     MC  Koba

  Mwanamuziki   wa    mziki  wa  bongo fleva toka  Moro  na  kundi  la watu poli.  Mc   Koba,  anataraji  kuanza  kufanya  video  ya  wimbo  mpya  unaofahamika  kwa  jina  la  sina  noma  naye.

  Akizungumza  nami  koba  amesema   kuanzia  siku  yoyote  ya  mwishoni  mwa  juma  hili  ataanza  kufanya  Video  hiyo  huku  akiomba  wadau  wajitokeze  kwa  ajili  ya  ushauli.

  Pia  aliuzungumzia  wimbo  wa  Afande  Sele ambao wameimba  wote unaoitwa  Amani  na  upendo,  amesema  wimbo  unafanya  vizuri  na  mashabiki wanauelewa.

  Anawashukuru  wadau  na  vyombo  vya  habari  kwa  mchango  wao  mkubwa  katika   mziki  na  hasa  akijizungumzia  binafsi.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE