December 14, 2012

 
 Watangazaji wa Clouds FM na Clouds TV pichan shoto ni Millard Ayo na Ben Kinyaiya pichani kulia wakifanya mahojiano mafupi na Mwanamuziki Koffi Olomide mara baada ya kuwasili.
 
    Mwanamuziki  nguli  wa   mziki  wa  bolingo  toka  Congo   Koffii  Charles Anthony Olomide  amewasili  jijini  Dar es  salam  jana usiku  akitokea  nchini  Congo  tayari  kwa  show  ya  miaka  13  ya  Kituo  cha  Radio cha  Clouds  Fm  cha  jijini  Dar  es  salaam

 
           Hapa  akiwapungia  mashabiki

 
  Show  hiyo  itakayofanyika  katika  viwanja  vya Leaders Club Kinondoni, Jumamosi 15/12/2012, Koffi Olomide Msanii Mahiri Kutoka DRC Atapigwa Tafu Na Bendi Mahiri Za Muziki Wa Dansi Tanzania..Twangapepeta..Skylight Band..Mapacha
Watatu..Diamond Sound Band Na Wengine Wengi.
  
 Show  hiyo   inafahamika  kama Tusker Carnivore,Miaka 13 Ya Kuburudika Na Muziki Bora Wa Bendi Kwa Hisani Ya Tusker..
  
  Kiingilio  kitakuwa  ni Th: 10,000/=  kama utakata  mapema  na 
TSH:  15,OOO/=   kama  utakata  mlangoni.
 
  Vituo  ni vya  mauzo  ya  tiketi  kwa  show  hiyo  ni 
 1. Zizzou Fashions - Africa Sana
2. Big Born - Kariakoo
3. Steers - Posta
4. Shear Illusion - Mlimani City
5. Min Argos Store - Msasani
6. TCC - Chang'ombe
7. Engen - Mbezi Beach
8. Clouds Media Group - Mikocheni
9. Mile Pamba - Mwenge
10. TinaMaria Boutique .- Millenium Tower
11. Robby One Fashion - Kinondoni Studio
12. Born To Shine - Mwenge Mkabala Na T.R.A
 
Photo: Yamebaki Masaa 24 Tuanze "Tusker Carnival" Ndani Ya Viwanja Vya Leaders Club Kinondoni, Jumamosi 15/12/2012, Koffi Olomide Msanii Mahiri Kutoka DRC Akipigwa Tafu Na Bendi Mahiri Za Muziki Wa Dansi Tanzania..Twangapepeta..Skylight Band..Map
acha Watatu..Diamond Sound Band Na Wengine Wengi..Ni Kwa Kiingilio Cha Shilingi 10,000/= Ukikata Tiketi Mapema, Mlangoni Utakata Tiketi Kwa Kiingilio Cha Shilingi 15,000/= Tu..Tusker Carnivore,Miaka 13 Ya Kuburudika Na Muziki Bora Wa Bendi Kwa Hisani Ya Tusker..

Marafiki Wa Kweli Bia Bora..Kunywa Pombe Kupita Kiasi Ni Hatari Kwa Afya Yako, Haiuzwi Kwa Walio Chini Ya Miaka 18, Tafadhali Kunywa Kiustaarabu.

    

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE