December 06, 2012

                                                              Daud  wa  kota

Mungu  akupe  kheri   na  fanaka  tele.  Leo  ni  siku  yako  ya  kuzaliwa,  miaka  mingi  iliyopita  Familia  ya  Mzee   Kanani,  iliingia  katika  furaha baada  ya  kupatikana  kwako.

Sasa  kupitia  blog  hii  tunakuomba  uzidishe  furaha  zaidi  ndani  ya Familia   ili  isije   kujuta  kupatikana  kwako.    Mungu  akuzidishie  neema  katika  utafutaji  wa  ridhki  zako. Awape  majanga  mazito wale  wote  wenye  chuki  nawe.

 UTHAMANI WA MZAZI UNAONGEZEKA CKU HADI CKU.UNAPOKUWA MTIIFU KWA 
MUNGU NA KWA JAMII INAYOKUZUNGUKA. SIFA ZOTE ZITAWAFIKIA WAZAZI. KAMA UNAJALI UTHAMANI WA MZAZI WAKO, BASI USITHUBUTU KUMTUKANISHA KWA WEWE KUWA JEURI, KIBURI. LINDA THAMANI YA MZAZI WAKO KWA KUWA MTIIFU MBELE YA WENGINE. MUNGU AKUZIDISHIE KHERI KTK MAISHA YAKO YOTE.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE