March 09, 2013


 
           Kutana   na  vichwa   katika    tasnia   ya  filamu   nchini   kama   Awadh   Saleh  ,Roberto
   Roberto de Niro, Antonio Banderas na  wengine  wengi.
 
    Lakini  katka  filamu  hiyo   utawakuta  wakongwe  kama  
 Mzee Chilo, Mama Mjata, Rose Ndauka na Hemed Suleiman Phd  wakizidi  kuongeza ladha tofauti itakayokufanya  uzidi kuifurahia    

Sehemu  ya  matukio  ya  filamu   hiyo

 
    Lakini  kwa  mara  ya  kwanza  utakutana  na  vichwa  vipya  kabisa  katika  tasnia  hiyo.
 Kutana na  mwanamuziki  Ali Timbulo, visura Tutti Rahman, Miriam, Latipher Mkuu na Natalia.


 

 
Baadhi  ya  washiriki   katika  pich  y   pamoja
 
Filamu ya World of Benefit ambayo imemalizika kuchukuliwa picha hivi majuzi na sasa iko katika editing
 
Habari Na Magreth Mgina  na McDennis Mgatha

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE