March 09, 2013

                                                                Hameed  akitoa   shukrani  
      
          Katika  harakatika  za  kujivunia   vya  nyumbani Tanzania  mpango  ulioanzishwa  na  Clouds  Media group,  mbunifu  wa mavazi  toka  Zanzibar  Hameed  Abdul, amesema atahakikisha watanzania  wanabata  vilivyo bora toka  katika  Kampuni  yake  ya  Med Fashion Desngns.

          Akizungumza  na  blog  hii  mjin  Morogoro  alipo  sasa  Med  amesifu mpango  huwo  wa  Clouds  unaoitwa Made in  Tanzani  utaimarisha  na  kuwashawishi  watanzania  kujali vya  nyumbani  kwanza. Med  ambaye  tayari  ana tuzo moja  ya  Mbunifu  bora  wa  kiume katika  show  ya  LADY IN RED iliyoandaliwa  na mama wa mitindo nchini Asia  Khamsini iliyofanyika  Serenna Hotel jiji Dar   es  salaam.

Picha mbalimbali zikionesha Hameed akipokea  tuzo




Hii  ni picha ya  moja  ya show alizohudhulia Gorden  Tulip 2012
 
 
Mwana dada  ndani  ya  moja  ya mavazi  ya  Med
  
 Hii  ndani  ya  Golden  Tulip  2012
    Katika  hatua  nyingine  Med  amewaomba  watanzania  kuungana  kwa  pamoja  katika  kujali  bihdhaa  zinazozalishwa  hapa  nchini na  kuwapongeza  Clouds  media  kwa  mpango  huu  wa uhamasishaji  juu  ya  kuthamini  na  kuitangaza  Tanzania.
    Med  amewataka  watu  mbalimbali  kama  watahitaji bidhaa  zake  na  ushauli  wawasiliane  kwa

Email: wiseameed@yahoo.com

Facebook:  Hameed Abdul

Sim namba:  0657 560 992
                    0779 427 004
                    0685 48

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE