Kundi la muziki wa HIP HOP toka Mkoani Morogoro linalojulikana kama, team racers,wankuja upya na wimbo mpya wa mixtape yao unaoitwa, Freak. akizungumza nami katika studio za Digital Vibes, kwa niaba ya Racers, Conscious, amesema eimbo hwo umefanyika katyika studio hizo chini ya Producer GQ.
GATSBY AFRICA YAELEZA SIRI YA MIAKA 25 UWEKEZAJI TANZANIA
-
Uamuzi wa taasisi ya Gatsby Africa kufanya kazi nchini Tanzania kwa zaidi
ya miaka 25 sasa unatokana na misingi imara ya utulivu wa kisiasa na
diplomasia...
4 hours ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment