SALIM CHUMA
Mdau wa muziki mkoani Morogoro Salim Chuma wa www.thechuma.blogspot.com, ametoa zawadi ya muda wa maongezi kwa mashabiki wake kama zawadi maalum ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa leo hii. kupata yaweza kuwa bahati yako, tembelea link hiyo
Blog ya www.ubalozini.blogspot.com, inakutakia kheri ya maisha maisha marefu
Blog ya www.ubalozini.blogspot.com, inakutakia kheri ya maisha maisha marefu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment