
Msanii Dayna amesema Move ya kitale sasa inampeleka pabaya, ameandika katika ukurasa wake wa facebook leo hii.
Kama unakumbuka kuna video ilimuonesha Dayna akiwa na Kala Jelemiah ktandani usiku, video hiyo imezidi kuibua mambo nahisi mpaka ameamua kauandika hayo
Tunavwatilia tutawajuza kipi kinaendelea juu yake mpaka kusema hayo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment