Diamond
Kufuatia sakata la biashara ya miito ya sim lililoanzishwa na Mbunge zitto kabwe, wasanii wa bongo freva waanza kufunguka macho na masikio. Mwanamuziki anayefanya poa kwa sasa Diamond kupitia ac yake ya Instagram amesema
"Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao".
0 MAONI YAKO:
Post a Comment