
Wawezeshaji wa semina hiyo ni Patrick Ngowi, Zeno Ngowi, Zitto Kbwe, Ruge Mutahaba na Mrisho Mpoto wakiwa meza kuu kulia alyesimama ni Gerald Hando
Juzi Clouda media Group, ilifanya uzinduzi wake wa msimu mpya wa vipindi vyake mjini dodoma, ikiambatana na Semina kubwa ya ujasiliamali iliyoitwa Fursa tulizonazo. shere hizo zilifanyika mjini Dodoma zikihudhuliwa na wadau na wasanii mbalimbali.

Mjasiliamali Partrick Ngowi kutoka kampuni ya Helvetic Solar Contractors akijieleza jinsi alivoanzia mpaka hapa alipofikia

Mmoja wa wezeshaji Mzee Zeno Ngowi akitoa elimu juu ya Fursa tulizonazo.

Diva Loveness Love akijitambulisha aliyekaa ni Shafii Dauda wote toka Clouds Media

Millard Ayo, Dina Marious na Zamaladi mketema nyuma ni snurah na maestro

Mbwiga mwiguke akijitambulisha

Mfalme Sele na Tall Bale wakiwatilia semina kwa umakini

Baadhi ya washiriki ni Stamina, Darasa na Ummy kitwana

Daudi wa kota akiwa na Ney wa mitego baada ya semina kumalizika

Hapa ni baada ya kumalizika kwa Semina
0 MAONI YAKO:
Post a Comment