
Sasa baada ya kionjo hicho, Quick anatarajia kuachia ngoma hiyo tarehe 21 mwezi huu katika ukumbi wa disco wa Ambassadors Lounge uliopo mjini Dar es Salaam katika jengo la Benjamin Mkapa Tower…
Katika uzinduzi wa ngoma hiyo ambayo itakuwa na video pia, Quick atasindikizwa na baadhi ya wasanii ambao ni pamoja na Mirror, Stamina, Izzo Bizness pamoja na Young Killer …
TOKA gongamx.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment