DAYNA NA MZEE CHILO
Msanii wa muziki wa Bongo fleva anayetamba na wimbo wake wa Leo, Dayna Nyange makli wao, ameamua kuweka wazi kwamba anamkubali mzee Chilo kutokana na kazi zake.
Akizungumza na ubalozini.blogspot.com Dayna amesema kwamba namkubali sana mzee chilo kutokana na kazi zake huku akikazia kwa kuandika katika ukurasa wake wa Facebok wakiwa katika picha ya pamoja na gwiji huyo wa Filamu nchini
"Me n ma dady Mzee Chilo
naelewa sana kazi zake inshaalah mungu akujaalie uendelee kufanya vizuri siku zote."
naelewa sana kazi zake inshaalah mungu akujaalie uendelee kufanya vizuri siku zote."
0 MAONI YAKO:
Post a Comment