July 25, 2013

Mussa  Kitale
   Msanii  wa  Commedy nchini na muimbaji wa bongo fleva  Kitale  rais wa mateja, amekanusha taarifa zinazomuhusiha na mali za Marehemu Sharo milionea.
  Katika  A/C yake ya BBM Kitale ameandika 

  "mama wa marehemu sharo Milionea ametoa malalamiko juu ya kutokabidhiwa baadhi ya mali za marehemu Sharo
   waandishi bila kumuelewa mama, wao moja kwa moja wananihusisha na mimi kuwa nahusika.  Hii ni kwa watanzania wote, Marehemu Sharo Milioneaaliacha gari aina ya Oper, naom,ba kuwaambia watanzania ile gari haipo chini yangu, ile Gari ipo chini ya Muddy Suma, ambaye ni mwenye gari aliyopata nayo ajali Sharo na mama yake   Sharo kulalamika kwenye vyombo vya habari ni sawa na ni haki yake kwa sababu mwenye Gari aliahidi kusamehe, ila aliomba aachiwe mpaka atakaponunua gari nyingine. Kinachoshangaza sasa ni mwaka unakwenda gari haijauzwa wala nini  kwa hiyo mama anahisi mimi na Mudfy suma letu moja.  Hapana mzazi wangu mimi nipo pamoja na wewe, na watanzania wote naomba muelewe gari sinayo mimi,. maana kila muandishi ananiandama mimi.  Kitu ambacho mimi na Sharo tulishea ni move tu. Gari anayo Mudy suma sababu  yeye  ndiyendiye aliwezesha na kuhusu sofa anazo Mudy Suma"

 Tutamtafuta Mudy Suma ili aweze kuthibitisha haya.

Related Posts:

  • TB JOSHUA: UTABIRI WAKE WATIMIA Prophet TB Joshua alitabiri mwaka jana kwamba Nigeria itakua ya kwanza kiuchumi kushinda nchi zote za Africa. Wakati anatabiri. ..nilikua nikiangalia nchi ya Africa Kusini, Misri etc.....niliwaza sana. Jana Imetangazwa kuw… Read More
  • JUMA NATURE ASEMA JOKATE MWEGELO AMEMUIGA Chelewa chelewa, utakuta mwana sio wako!! Ndicho kilichotokea kwa Juma Nature ambaye wazo lake la kuanzisha ndala liliendelea kuwa la mdomoni na ‘kutalk the talk’ ilhali Jokate Mwegelo akileta action kweli kwa ‘kuwalk t… Read More
  • MVUA ZALITESA JIJI LA DAR Mburahati na Mayfair leo asubuhi Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira. Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika … Read More
  • TAZAMA NMB ILIVYOSAIDIA KITUO CHA WALIMU TEMEKE   Benki ya Nmb imesaidia kituo cha walimu Temeke Meneja wa kanda ya Dar es salaam ambayo imekabidhi kompyuta mbili na mashine ya kuchapia karatasi(printer) kwenye kituo cha cha walimu wilaya ya Temeke Dar es salaam… Read More
  • MVUA MOROGORO ZAIDI YA MASAA 24, ZALETA ATHALI KWA WANANCHI Wananachi wa kata ya Mwembesongo wakitemebe kwenye maji baada ya barabara ya kichangani kujaa maji wakitoa maji yaliyojaa dukani kwao  Bi,Hasma Ndehele ambaye ni Kigogo wa CCM kata ya Mji Mpya ak… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE