Huu ni wimbo uliowakutanisha vichwa vinne vinavyofanya vizuri katika mziki wa Bongo fleva. Ni wimbo maalum kwa ajili ya wizara ya nishati na madini na miaka hamsini toka tulipotoka mpaka hapa tulipofikia. umeeleza mambo mengi sana hasa ya kimaendeleo yanayoletwa na umeme.
Producer wa wimbo ni Maneke toka AM Records
Inakujia hivi karibuni.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment