
Poetry
Addiction au Uraibu wa ushairi unaweza kutumia lugha ya kiswahili kama
ukipenda. Mara ya kwanza ilifanyika pale Triniti ikiwahusisha wasanii
kama Damian Soul,Wakazi,Chidy Benz,Fid Q mwenyewe na wengine. Fareed
Kubanda ametangaza ujio mwingine wa Poetry Addiction ambayo itafanyika
31 mwezi wa huu(8) palepale Triniti Oysterbay. This time kutakuwa na
wasanii kama Fena Gitu a.k.a Fenamenal kutoka Kenya,Avid,Cliff
Mitindo,Henry The 1st,Lufuz,Masharkanz,Damian Soul,Fid Q mwenye na kuwa
hosted by Ncha Kali. Time ni saa mbili hadi saa saba usiku kwa kiingilio
cha Tsh 10,000.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment